HADITHI KALI

CHOMBEZO: BABU ‘G’ ELIADO TARIMO 0714 555 195 18+ SEHEMU YA 12. Niliendelea kutibiwa na mara baada ya siku mbili hali yangu ilitengemaa. Niliruhusiwa na kuendelea na shughuli zangu za kawaida. Nilikuwa mpole sana na cha ajabu sasa nilikuwa nikisumbuliwa na wanafunzi wengi wakinitaka kimapenzi. Waliokuwa wakinitaka hasa wale waliokuja kuniona nikiwa hospitalini ambao wengi walifanikiwa kupata namba zangu kwa njia ya ujanja ujanja. Lakini sasa hivi sikuwa na raha sana kama awali kutokana na wosia mzito niliopewa na babu yangu. Lakini pamoja na wosia huo hiyo haikumaanisha kuwa nilivunja urafiki kati yangu na babu G. Urafiki wetu uliendelea na bado babu G alikuwa akinifundisha vitu muhimu kuhusu wasichana. Alinieleza pia umuhimu wa kumrizisha mwanamke kitandani. Ufundi wote huu ukawa chachu ya mimi kutaka kujaribisha yote niliyofundishwa. Basi niliamua kuanza na kiporo yaani yule binti ambaye babu G alinambia kuwa alikuwa akihitaji dozi siku ile nilipopata majanga ya kupiga chabo. Nilimtafuta babu G na kumwambia kuwa sasa nilikuwa tayari kwa ajili ya kazi ile. Babu G alicheka sana na kuniambia kwa bahati mbaya ile kazi mara baada ya mimi kuumwa aliamua kuifanya mwenyewe. Nilitamani kucheka kwa maana haingii akilini kuwa eti mtu alikuunganishia mwanamke na kwa kuwa wewe ulipata matatizo eti yeye akaamua kumfanya wake. Hii kitu ilikuwa inachekesha sana maana Babu G aliamua kujimilikisha na kufanya mapenzi kama kitu kisicho na thamani kabisa. Nikawa najiuliza ni kweli wasichana wanauhitaji huo. Mbona kibaiolojia sio hivyo. Mimi nakumbuka nilifundishwa na kusoma kuwa mwanaume ndio ana hamu kubwa ya kufanya mapenzi kuliko mwanamke. Nijuavyo mimi kinachowafanya wanaume kuwa na hamu kumbwa ya kufanya mapenzi ni kutokana na sababu za kibaiolojia. Inaelewza kuwa mwanaume ana testosterone homoni (viamshi) ambavyo huzalishwa kwa wingi katika kende hivyo kutokana na kuwepo kwa wingi humfanya mwanaume kuwa na mwemko na hisia nyingi za kufanya mapenzi. Bailojia inasemwa wazi kuwa homoni za estrogen kwa upande wa mwanamke huwepo kwa kiasi kikumbwa wakati Fulani katika mzunguko wa hedhi hasa hasa siku ya upevushaji wa yai. Hapa mara nyingi mwanamke huhitaji sana kuamshwa hamu ya kufanya mapenzi kwa kushikwashikwa sehemu zinazosimimua zaidi. Sasa sina uhakika hawa wa babu G huwa wapo kwenye siku hizo na kama ni hivyo mbona hawapati mimba au wameshaanza kujidunga sindano wakiwa na umri mdogo. Sijui huenda wanatumia njia za kuzuia mimba. Ninachojua pia ni kwamba wanaume tulio wengi hamu zetu hazihitaji kuamshwa yaani tukiona tu mwanamke kava nguo zinazoonesha maungio yake tayari tunapata hamu ya kufanya mapenzi. Mwanamke yeye anaweza kumuona mwanaume “handsome” mwenye kifua kizuri na vigezo vingine lakini hawezi kupatwa na hamu ya kufanya mapenzi. Sasa inakuwaje hawa wanakuwa na hamu kumbwa ya kufanya mapenzi. Maswali haya na mengine mengi yaliendelea kuusumbua ubongo wangu. Nilitamani babu G angekuwepo ili niweze kumuuliza maswai yote hayo. Wakati nikiendelea kuwaza na kuwazua nilipata simu ya madam Anitha ambaye alikuw ni mwalimu wa Geogarph kwenye shule hiyo. Baada ya salamu madam huyo alinuliza nipo wapi. Pia aliniuliza kama naweza kwenda kwake. Nilimuheshimu sana madamu huyu kwa maana licha ya mambo mengine pia alikuwa akijiheshimu sana na alikuwa amenizidi kiumri. Mara nyingi tukiwa ofisin alionesha kunikubali sana na alikuwa akipenda sana kufuatilia stori zangu.Waswahili wanasema usikatae wito bali kataa neno. Huyo niliondoka na kuelekea kwa madamu huyo wa makamo. Nilifika pale nilibisha hodi na sauti ilisikika kwa ndani karibu. Niliingia na nilimuona madamu akiingia bafuni na kuniambia ngoja nioge yeye anakuja. Eeeeh makumbwa nilijisemea huku nikijiba siti na kukaa hapo kwenye sofa. Sikuwa na hofu sana macho yangu yalikuwa yamefikia kwenye Tv kulikuwa na kipindi kilichovutia. Madamu alikaa muda mrefu bafuni na sijui alikuwa akioga nini.. Mara alitoka na kwa kuwa maliwato yalikuwa kwa nje kwenye kikorido hivyo ilikuwa rahisi kwa mimi kumuona. Jamani Hakuwa haba nilijikaza kisabuni huku udenda wa tamaa ya ngono ukinitoka. Nikaanza kuvuta taswira jinsi atakavyokuwa mtamu. Na nikakumbuka siku babu G alinambia wanawake wakumbwa eti na wao wana utamu wao. Mara mama huyo alitoka huko chumbani kwake na kuja pale sebuleni. Alikuwa amejipulizia marashi na alikuwa yupo kwenye lile vazi la khanga moja. Khanga hiyo alikuwa amejifunga kuanzia kifuani mpaka chini kidogo ya mapaja. Hofu ilinijia huku nikikumbuka stori kuwa mme wa madamu huyo yupo nje ya nchi kimasomo. Nilishajua nia yake kuwa alitaka utamu na ndio maana alienda kujiandaa.Itakuwa labda alienda kukisafisha vizuri.Yaani ukijumuisha na alivyovaa nilianza kupata tabu ya kukaa pale kwenye sofa.Akaenda kwenye friji akachukua chokulate ya maziwa.Akaifungua na kuanza kuilamba huku akinipa na mimi.Mimi sikujivunga nilichuka na kuweka mdomoni. “Jose naamini wewe ni mtoto wa kiume uliyekamilika na unaweza kutoa msaada muda wowote” Aliongea madamu huyo mara baada ya kukaa kwenye sofa la mbele yangu. Nilishindwa kujibu swali hilo mawazo yangu yote yaliamia kwenye mapaja yake meupee pee. “Ndio madamu naweza tu kukusaidia kama litakuwa ndani ya uwezo wangu”Nilitoa jibu hilo mara baada ya kumkagua vizuri. Haikuhitaji elimu ya chuo kikuu kugundua kuwa mwanamke huyo alihitaji nini kwa wakati huo. “Ujue mimi naishi kama mjane hivyo kuna wakati nazidiwa na hisia sana. Najua ni ngumu sana kwa mwanamke aliyekamilika kuvumilia. Hivyo nitaomba unisaidie kitu? “Kitu gani niliuliza kwa haraka haraka.” “Usiwe na hofu” alijibu mama huyo huku akinisogolea. Kwa bahati mbaya khanga aliyokuwa ameivaa ilimdondoka. Sikujua kama ilikuwa ni bahati mbaya au ilikuwa ni makusudi. Ashakumu si matusi maini na firigizi vilionekana. Nilitamani kufunga macho lakini nilishindwa. Niliangalia jinsi maungo yake ya ndani yalivyojichora. Nilitamani kumrukia na tayari waliolala walishaamka kwa tukio hilo. “Jose….” aliita huku akiuendea mlango wa sebuleni na kuufunga kwa ndani. Hapo nikapata fursa ya kuona jinsi madam huyo alivyoumbika sehemu zake za nyuma. Nilibaki kushangaa mpaka mama huyo alianza kunifuata pale nilipokuwa nimekaa. Alikuja na kukaa pembeni yangu huku mikono yake akiwa ameniwekea begani. Je nini kitatokea ? USIKOSE SEHEMU YA 13…

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

DEVELOPMENT