Machapisho

HADITHI KALI

CHOMBEZO: BABU ‘G’ ELIADO TARIMO 0714 555 195 18+ SEHEMU YA 12. Niliendelea kutibiwa na mara baada ya siku mbili hali yangu ilitengemaa. Niliruhusiwa na kuendelea na shughuli zangu za kawaida. Nilikuwa mpole sana na cha ajabu sasa nilikuwa nikisumbuliwa na wanafunzi wengi wakinitaka kimapenzi. Waliokuwa wakinitaka hasa wale waliokuja kuniona nikiwa hospitalini ambao wengi walifanikiwa kupata namba zangu kwa njia ya ujanja ujanja. Lakini sasa hivi sikuwa na raha sana kama awali kutokana na wosia mzito niliopewa na babu yangu. Lakini pamoja na wosia huo hiyo haikumaanisha kuwa nilivunja urafiki kati yangu na babu G. Urafiki wetu uliendelea na bado babu G alikuwa akinifundisha vitu muhimu kuhusu wasichana. Alinieleza pia umuhimu wa kumrizisha mwanamke kitandani. Ufundi wote huu ukawa chachu ya mimi kutaka kujaribisha yote niliyofundishwa. Basi niliamua kuanza na kiporo yaani yule binti ambaye babu G alinambia kuwa alikuwa akihitaji dozi siku ile nilipopata majanga ya kupiga chabo....

DEVELOPMENT

development according to Dr. Walter Rodney he define development as the "increase of individual level of thinking capacity ,ability,self-descipline,creativity,having responsibilities,and having material well being.